port said

IQNA

IQNA — Toleo la tisa la Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani na Ibtihal ya Port Said limehitimishwa, ambapo washiriki kutoka Misri wameibuka kidedea kwa kushinda nafasi ya kwanza katika makundi yote matatu ya mashindano hayo.
Habari ID: 3481884   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/03

IQNA – Toleo la 9 la Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu na Ibtihal ya Port Said lilianza rasmi Ijumaa katika mji wa bandari wa Port Said, Misri.
Habari ID: 3481875   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/31

IQNA – Toleo la tisa la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani na Utenzi wa Kidini la Port Said linatarajiwa kuanza mwishoni mwa Januari 2026 likihusisha ushiriki wa zaidi ya nchi 30, waandaaji wametangaza.
Habari ID: 3481628   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/08

IQNA – Toleo la 32 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Misri limeanza Jumamosi katika Mji Mkuu wa Utawala wa nchi hiyo.
Habari ID: 3481627   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/07

IQNA – Usajili wa wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar kwa mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Port Said umeanza rasmi.
Habari ID: 3481614   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/05

IQNA – Kamati Kuu ya Maandalizi ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'an ya Port Said nchini Misri imetangaza kufunguliwa kwa usajili wa washiriki wa kimataifa kwa ajili ya toleo la tisa la mashindano hayo, litakalofanyika kwa heshima ya Qari maarufu Sheikh Mahmoud Ali Al-Banna.
Habari ID: 3481421   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/26

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mhifadhi wa Qur'ani wa Misri aliyefariki katika ajali ya gari wiki iliyopita ni miongoni mwa washindi katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3479917   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18

IQNA - Hatua ya awali ya mashindano ya uteuzi wa wawakilishi wa Misri katika toleo lijalo la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said yamalizika.
Habari ID: 3479649   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 7 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal ya Port Said nchini Misri yalihitimishwa katika sherehe siku ya Jumanne. Washindi katika kategoria tofauti walitajwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga, tovuti ya Youm7 iliripoti.
Habari ID: 3478320   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoendelea Port Said, Misri, limewataja washindi wa duru ya kwanza.
Habari ID: 3478314   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

IQNA - Qari mashuhuri wa Misri Mahmoud Shahat Anwar alikariri aya za 107-110 za Surah Al-Kahf katika sherehe za uzinduzi wa toleo la 7 Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said.
Habari ID: 3478308   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Watetezi wa Qur'ani
IQNA - Washiriki wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani huko Port Said, Misri, walifanya maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa wa Gaza.
Habari ID: 3478294   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA-Toleo la 7 la tukio la kimataifa la Qur'ani linatarajiwa kufanyika Port Said, kaskazini mwa Misri, Februari 2-6.
Habari ID: 3478293   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Port Said yameanza Ijumaa katika mji huo wa bandarini Misri.
Habari ID: 3476578   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa Misri wameshinda kategoria zote za Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3474969   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Bandari ya Port Said Misri yamepangwa kuanza Februari 18.
Habari ID: 3474892   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Jimbo la Port Said nchini Misri wametangaza mpango wa kuandaa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Port Said mwakani.
Habari ID: 3474685   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17